Excellent
against braichial afflictions
Nitiba nzuri dhidi ya matatizo
ya njia ya hewa .Katika karne ya kumi na tisa,mmea huu wa mkaratusi uliletwa kutoka ulaya na Amerika kutoka australia na Tasminia pale unapokuwa unafika kimo cha mita 100. Mmea huu ni miongoni mwa miti mirefu maarufu, mifano ya miti inayofika kimo cha mita 180.
Mmea huu hukua haraka haraka sana na kufyonza maji kw kiwango kikubwa kiasi cha kuweza kukausha maji na kureta ukame kwenye ardhi na kuzuia mbu aina ya anophereles asambazaye malaria
SIFA
NA VIWANGO VILIVYOMO KWENYE MKARATUSI
Mkaratusi huu unaonekana kukidhi kwa kiwango kikubwa kushughurika hasa matatizo ya njia ya mfumo wa upumuaji kama pumu(arthma) pia tatizo la muda au kudumu katika mkondo wa kupumua.
Mkaratusi inasaidia kuzalisha seli za mwili zilizo adhirika pia inatuliza kikohozi cha kukohoa
Mkaa wake hutumika kutibu vyakula vilivyo na sumu au uyoga wenye sumu,kuharisha,minyoo ya tumboni ,chakula kilicho chacha tumboni na kushindwa kusagwa ,kilungulila pia na sumu ya nyoka.
MAANDALIZI
NA MATUMIZI
Chuma majani yake ya kutosha wastani (20-30g) uyatwangwe mpaka yalainike kisha weka kikombe cha maji uache huo mchanganyiko utulie kwa dakika kumi ndani ya chombo kizuri kama vile jagi kubwa lenye mfuniko na ufunike na mfuniko kwa dakika kumi kisha chuja vizuri upate maji yake yaani juice ya mkaratusi.
MATUMIZI
Ø
Kunywa vikombe vitatu kwa kutwa
yaani 3X1 ukichanganya na asali.
Ø
Hushughulika hata nje ya mwili
mvuke wake husaidia kutibu mtu aliyebanwa na kifua pia na kichwa kuuma.
c
EMAIL >jifunzebibliazaidi@gmail.com
Post a Comment